Location: Nyamagana Mwanza
Description
Natafuta mfanyakazi wa stationery mwenye sifa zifuatazo;
Awe msichana mwenye umri wa miaka 18 – 22
Awe na ujuzi wa lugha ya Kiingereza na Kiswahili (Kuandika na kuongea)
Awe na elimu ya kidato cha nne na kuendelea
Awe na ujuzi wa kutumia Komputer katika shughuli mbali mbali kama vile Typing, Printing n.k
Awe na ujuzi wa kutumia vifaa vingine vya stationery kama vile printer, laminator, staplers (kama hana ujuzi huo awe tayari kuelekezwa na awe mwepesi kuelewa)
Awe mkweli na mwaminifu (asiwe mtu mwenye tabia za kuficha ficha mambo)
Kwakuwa stationery Ipo Mwanza, Maeneo ya Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino, Anatakiwa awe anaishi maeneo jirani na chuo hicho (Yaani mahali ambapo anaweza kufika bila kutumia usafiri wa aina yoyote ile) kama anaishi mbali na hapo awe tayari kuishi maeneo ya jirani na chuo (kuhusu sehemu ya kuishi ni juu yake yeye mwenyewe)
Awe na spidi nzuri ya kuandika (typing speed at least 35 WPM)
Awe mtu mwenye heshima kwa watu wote wakubwa kwa wadogo
awe mwenye kupenda kuvalia mavazi ya heshima muda wote
How to Apply:
Tafadhali soma vizuri sifa zinazohitajika kabla ya kutuma maombi ya kazi hii.
Tuma maombi yako kupitia Email au Whatsapp no. +255625780461. Tafadhali usipige simu wala usiandike SMS ya kawaida, tumia njia zilizotajwa hapo juu Ambazo ni whatsapp au Email
Tafadhali usitume Vyeti. Tuma Cv pekee
AHSANTE
Application deadline 2017-09-30