Job Title: Hair dresser/ Mtu wa kutengeneza nywele za kike
Employer: Neshvile schoolof beauty and design
Location: Ilala, Kariakoo Dar Es Salaam
Description
Neshvile school of beauty and design we need a professional hair dresser as soon as possible. We are located at Posta Dar es salaam Tanzania. If interested please contact 0713016025 for more information on the job. please its urgent it will be better if u contact us as soon as you see this ad it will be better / Neshvile school of beauty and design tunahitaj mtu wa kutengeneza nywele mwenye ujuzi mzuri kwa haraka zaidi. Tunapatikana maeneo ya Posta Dar es salaam Tanzania. kama ungependelea kufanya kazi nasisi wasiliana nasi kupitia namba 0713016025 kwa maelezo zaid ya kazi.
Tafadhali tunahitaji kwa haraka sana itakuwa vizuri kama ukiwasiliana nasi mara uonapo tangazo hili
Deadline: 15th November 2017