Tuesday, 14 November 2017

Mawakala (Agents)

Employer: KIZUMBA SECONDARY SCHOOL Job categories

Education & Teaching
Job Role Experienced Position Type Part Time Organization Type Private Sector
Description
Wanahitajika mawakala 10 wenye uwezo wa kutafuta wanafunzi wa jinsia zote.
Wawe na uelewa katika masuala ya elimu.
ELIMU:Awe ana elimu ya kuanzia kidato cha sita na kuendelea
Wenye uzoefu watapewa kipaumbele
kwa mawasiliano piga SIMU

PHONE
+255753041388
+255784253849

Wakala atalipwa sh 70000/=
Kwa kila mwanafunzi atakayemleta.wanafunzi wanahitajika kwa vidato vya I,II,III,na IV.

Application deadline 21. Nov 2017

Find us on Facebook

Popular Posts